Yani uliposema wawekezaji wa kigeni ndio umeharibu, maccm yakija yatakomalia hapo hapo na kusema hao wageni walikua wapigaji... Sasa wamemkimbia magu!!Katika hali isiyo ya kawaida, soko la hisa la Dar es Salaam limeanza kwa mdororo mkubwa wiki hii. Ripoti zinaonyesha kwamba ni sh40,000 ndizo ziliripotiwa kupatikana leo kutokana na mauzo ya hisa.
Hiki ni kiwango cha chini kabisa kuripotiwa na soko la hisa miaka 21 tangu kuanzishwa kwake. Hatua hii inatokana na kukosekana kwa wawekezaji wa kigeni ambao wanachangia asilimia 80 ya thamani ya umiliki wa hisa na asilimia 80 ya mauzo na mamunuzi ya hisa.
Tutafika tu
Naunga mkono hoja, uchumi wa viwanda na Tanzania ya uncle haiwezi kuingiza 40,000tsh kama genge.Wewe unatumiwa na Mabeberu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii rekodi kama ni kweli haiwezi kutuingiza kwenye kitabu cha Guinness World Records kweli?
Nakuonaga hadi huku kwenye ngumu kumeza..Hahahaha....nacheka kama mazuri jaman
Watu na fani zao utawajua tu 🙂40k hata malaya wa maana hupati..
Siku zote hesabu hazidanganyi!! yanimoja ni moja huwezi iita moja nne!!Hii rekodi kama ni kweli haiwezi kutuingiza kwenye kitabu cha Guinness World Records kweli?
hahahaaaaa spare my ribs kaka... umewaza mbali40k hata malaya wa maana hupati..