Soko la hisa laingiza Sh40,000

Soko la hisa laingiza Sh40,000

Dah! Hilo litaitwa genge la hisa? Poleni investors wote! Tufanye mengine, tusubiri dividend Bongo ni kukaribisha magonjwa kwa kiasi ya 5G.
 
Mmhh hata laki haijafika? Ila inaweza kuwa kweli maana wabongo si wanunuaj wa hisa hisa zenyewe uduanzi unawekeza kwenye kitu ambacho hakimove,
 
Katika hali isiyo ya kawaida, soko la hisa la Dar es Salaam limeanza kwa mdororo mkubwa wiki hii. Ripoti zinaonyesha kwamba ni sh40,000 ndizo ziliripotiwa kupatikana leo kutokana na mauzo ya hisa.

Hiki ni kiwango cha chini kabisa kuripotiwa na soko la hisa miaka 21 tangu kuanzishwa kwake. Hatua hii inatokana na kukosekana kwa wawekezaji wa kigeni ambao wanachangia asilimia 80 ya thamani ya umiliki wa hisa na asilimia 80 ya mauzo na mamunuzi ya hisa.

Tutafika tu
This might enter into the world Guinness book of records
D1amEGuXgAA4XjV.jpeg
 
DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE Monday, 29ᵗʰ July 2019

DSE recorded a total turnover of TZS 0.04 mln from 206 shares traded in 3 deals.
On Government Bonds Board, a 10-year bond with a coupon rate of 11.44% and a face value of TZS 0.1290 bln was traded at 89.7998% in 1 deal(s) while 15-year bond with a coupon rate of 13.50% and a face value of TZS 2.8000 bln was traded at 101.9801% in 1 deal(s) while 20-year bond with a coupon rate of 15.49% and a face value of TZS 0.6062 bln was traded at 94.4143%, 96.0976% and 98.4000% in 3 deal(s) DSE counter had 1 shares traded at weighted average price of TZS 1,100 per share in 1 deal(s). NICO counter had 200 shares traded at weighted average price of TZS 175 per share in 1 deal(s). TCCL counter had 5 shares traded at weighted average price of TZS 600 per share in 1 deal(s).
Hapa umeweka vizuri sana... Mabeberu hayana akili kabisa... Yamehamisha pesa zote
 
Back
Top Bottom