Soko la Ilala ni aibu kwa taifa

Soko la Ilala ni aibu kwa taifa

Kraftwerk

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
227
Reaction score
325
Habari wana Jf.
Twende moja kwa moja kwenye mada. Wangapi wamefika soko kuu la ilala? Na kama ulibahatika kufika hali yake ikoje? Kiukwel ni aibu kwa taifa letu soko chafu na matope hakuna.

Kuna wafanyabiashara wengi hasa mama zetu wapo kwny mazingira si mazur ya kiafya. Na mama yetu kipenz nae bajeti ya royal tour ni 7 billion.

Tunaomba hili liwafikie kwa viongozi wetu wa soko hali ya soko si nzur hasa kipindi cha mvua hakuna hata pakukanyaga zaid ya matope n mikojo.

Mwizo wa uzi.
IMG_1333.jpg
 
Mwizo wa uzi.View attachment 2217643
Mama anatanua tuu na midege angani hana muda na wanyonge.
 
Ukimaliza ilala nenda soko la mabibo aibu utaona wewe mkuu ....masoko mengi ya jiji la dar nimachafu hyafai
 
Back
Top Bottom