Kyambambembe
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 326
- 353
Mzigo wa kutosha kulingana na mahitaji.Una tani/magunia mangapi?
Poa mkuu ngoja nifanye hivyomtafute diamond kwenye inster, ananunua huyu
Ukipata nishtue na mimi.Poa mkuu ngoja nifanye hivyo
TAni moja unauzaje?Waungwana nisaidie kujikwamua kiuchumi nitafuta soko la Karanga popote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania mzigo upo wa kutosha no yangu 0674067474 karibuni
Hilo sio jibu. Hivi ni uelewa mdogo wa jinsi biashara zinavyofanwa am nini?Mzigo wa kutosha kulingana na mahitaji.
Nairobi bei ipoje mkuu?lete Nairobi upige pesa
Soko lipo south africa na pakistanWaungwana nisaidie kujikwamua kiuchumi nitafuta soko la Karanga popote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania mzigo upo wa kutosha no yangu 0674067474 karibuni
Ishu ipo kwenye faida mkuuSoko lipo south africa na pakistan
Nani amekwambia kukodi container ni dola 4,000 labda kama unabebea mbao kutoka iringa kuja darIshu ipo kwenye faida mkuu
Kukodi Container ni dollar 4000 ambayo ni milioni tisa bado gharama za Magari ya kupeleka na kuchukua Bandarini halafu Containers zinachukua tani hazizidi 28 at the end unakuta gharama zilizoongezeka kwa kila kilo ni Sh 600@ kilo huo usafiri tu bado Tariffs,ushuru etc
Kupeleka Pakistan gharama sh ngapi Full container?Nani amekwambia kukodi container ni dola 4,000 labda kama unabebea mbao kutoka iringa kuja dar
Freight ni dola 1200Kupeleka Pakistan gharama sh ngapi Full container?
Freight ni dola 1200