Unakodi wapi?Hiyo usafiri sasa bei ya kukodi kontena?
Unaonekana hujawahi kufanya export!!
Kontena utapewa bure na wakala wa meli kwa aidha ulibebe ukapakie mzigo kwako,au ukapakilie bandarini
Kuna gharama tu za bandari
Fanya utafiti upya utapigwa mzee halafu useme Magufuli mbaya