SOKO LA KARANGA

SOKO LA KARANGA

Hiyo usafiri sasa bei ya kukodi kontena?
Unakodi wapi?
Unaonekana hujawahi kufanya export!!
Kontena utapewa bure na wakala wa meli kwa aidha ulibebe ukapakie mzigo kwako,au ukapakilie bandarini
Kuna gharama tu za bandari
Fanya utafiti upya utapigwa mzee halafu useme Magufuli mbaya
 
It's true mkuu personally sijawahi kuimport au export via Bandarini

Kuna issues hapo kati kwamba hizo Karanga nani atanunua huko Pakistan/South Africa au mnunuzi huyu muuzaji wanainteract vipi in order to seal the deal
 
Nilidhani unaye tayari
Tafuta kwenye masoko na ufuate njia za misasa za biashara
 
Waungwana nisaidie kujikwamua kiuchumi nitafuta soko la Karanga popote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania mzigo upo wa kutosha no yangu 0674067474 karibuni
Weka maelezo yaliyonyooka ushafeli kabla hata ya kuuza kilo moja.
 
Back
Top Bottom