soko la karanga

soko la karanga

Mledi haswa

Senior Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
161
Reaction score
172
wanajamvi nimefanikiwa kulima karanga na mimepata gunia 120 ila tatizo soko limekua adimu .mwenye kujua soko zuri aweke jamvini
 
Gunia unauza sh ngapi? aina gani ya karanga? ushazichambua au zina maganda?
 
Back
Top Bottom