Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki.
Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali nchini ikiwa na lengo moja la kuwaondoa machinga.
Najiuliza, mbona karume watu walikua tayari organized, shida ni nini? Mnalazimisha watu wakapange kwenye vizimba machinga complex ambavyo tayari mlishajimilikisha ili mpate pesa ya kula.
TBL fire brigade walijaribu kutaka kuzima moto kwani uko karibu na depot yao wakakatazwa, kwamba waangalie moto usivuke kwenda kwenye depot yao na kwa wananchi ila mengine hayawahusu.
Miaka na miaka hayo masoko yapo hapo hayajawahi kuungua, yanakuja kuungua leo na mudus operand yao ni ile ile, kuunguza usiku watu wakiwa hawapo ili wakiamka asubuhi wakute kila kitu kimeteketea.
Watu hawana uchungu wala hata moyo wa kujali kwamba wafanyabiashara wa pale mitaji yao ni midogo sana, bado unawachomea vitu vyao vyote. Waende kula wapi?
Habari wana jf, soko la karume limengua kuanzia mida ya saa 9 ucku mkapa mida hii ya saa 2 moshi bado unafukaa , kwa sasa soko limeungua looote yaani hakuna kilichobaki tofauti ya linavyoungua kipindi cha awali ambapo huuungua kidogo tu , mm najiuliza nn chanzo cha moto ktk soko hili?, maana ndani ya miaka kama saba sikosei soko limeungua mara 3 kwa nyakati tofauti, poleni wafanyabiashara wote. Poleni majirani wa eneo hilo
Mumlaumu JPM kwa kumweka mama kuwa makamu wa rais na Rais Mtarajiwa. Kama mlimheshimu JPM.. Mheshimuni na Mama pia. Ni chaguo la kipenzi chenu JPM. Kaeni kimya kabisa sababu hapa tulipo ni MAKOSA YA JPM tokea awali.. kila kitu cha nchi hii KILICHOVURUGIKA NA KINACHOVURUGIKA NI SABABU YA JPM aka Mwendazake