ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Umepotea njia.Mlaumu JPM kwa kuweka mama kuwa makamu wa rais. Kama mlimheshimu JPM.. Mheshimuni Mama pia. Ni chaguo la kipenzi chenu JPM. Kaeni kimya kabisa sababu hapa tulipo ni MAKOSA YA JPM tokea awali
Tafsiri ya nilichoandika ni kwamba hiyo ndiyo huwa trend baada ya majanga hapa kwetu. Kuunda tume na kusubiria ripoti ambayo hutasikia aliewajibishwa wala chochote cha namna hiyo.Ripoti gani sasa? Hivi kwani ripoti ya kuungua KKoo ilisemaje…? Nani alibainika kuhusika…?!
Tiasies ni malabuk…
Ww ndio umepotea KABISA na hamjitambui.. mnamsifia tu JPM kila siku.. si mkamfufue sasa?? Mtu aliharibu sana hii nchi na inaendelea kuharibika sababu yake..Umepotea njia.
Sio kweli,Tatizo ni CCM na sisi Watanzania!Mumlaumu JPM kwa kumweka mama kuwa makamu wa rais na Rais Mtarajiwa. Kama mlimheshimu JPM.. Mheshimuni na Mama pia. Ni chaguo la kipenzi chenu JPM. Kaeni kimya kabisa sababu hapa tulipo ni MAKOSA YA JPM tokea awali.. kila kitu cha nchi hii KILICHOVURUGIKA NA KINACHOVURUGIKA NI SABABU YA JPM aka Mwendazake
Naomba nikuulize CCM imevunja katiba kuwabakiza wabunge walifukuzwa CHADEMA. Mbona hamna hatua yoyote iliyochukuliwa? Mimi nimekuwa nikidai katiba mpya muda mrefu lakini nimegundua kuna tatizo kubwa sana kwetu, tunaogopa kudai haki zetu. Katiba ni maandishi tu, ni jukumu letu kuhakikisha inatekelezwa. Tunataka maandishi lakini tunaogopa kutekeleza.Haya Matukio yaendelee, yaongezeke, yazidi kuwa Mengi, yasiache kutokea, Hadi pale Watanzania Akili Zitakapo Funguka na Kudai Katiba Mpya Kwa Nguvu.
Kitu ambacho bado hatujakijua Watanzania Ni Kuwa, Viongozi Wetu wana DHARAU SANAA wananchi wake Hilo lipo wazi Kabisa Kabisa, tena Ni Dharau Iliyopitiliza. Haya matukio sio Mapya nchi kwetu lakini hakuna hata Siku 1 ilitoka Report Ya Tukio la Moto watu wakawajibishwa kwa namna Yoyote ile kama Sio Dharau ni Nini? Yaani Viongozi wetu wanaweza kujua Ugaidi wa Kutaka Kulipua Vituo Vya Mafuta Bila Vipulizi lakini wanashindwa kujua Chanjo za Moto na nani Muhusika?
Mpaka siku, Ikulu iwake moto, Bunge liwake moto.
Wale machinga wote walio lazimishwa kuhamia pale Wamepata Hasara tena hii January [emoji27][emoji27][emoji27][emoji27] watoto wakiwa Wamefaulu kwa kishindo.
Kwani JPM hakuwa CCM?Sio kweli,Tatizo ni CCM na sisi Watanzania!
Bujibuji umeona MBALI.Duh, haya mambo ya masoko kuungua moto huenda ni mbinu za wakubwa serikalini ili wapige hela za ujenzi , kuanzia kwenye mchakato wa zabuni ya kumpata mkandarasi, hadi ujenzi unapomalizika
Lakini Yule alisema yeye ni Rais wa wanyonge wakambeza kwamba unyonge siyo sifa.Duh kila Zama na kitabu Chake! Zama hizi ni kuwakomesha masikini.
Una uhakika na unalosemaMumlaumu JPM kwa kumweka mama kuwa makamu wa rais na Rais Mtarajiwa. Kama mlimheshimu JPM.. Mheshimuni na Mama pia. Ni chaguo la kipenzi chenu JPM. Kaeni kimya kabisa sababu hapa tulipo ni MAKOSA YA JPM tokea awali.. kila kitu cha nchi hii KILICHOVURUGIKA NA KINACHOVURUGIKA NI SABABU YA JPM aka Mwendazake