DOKEZO Soko la Kijichi (Temeke) limejengwa kwa Mamilioni ya mkopo wa Benki ya Dunia lakini halitumiki, nini hatima yake?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hili soko bora lingejengwa kule Msumi mwisho yanapogeuzia mabasi ya kutokea Mbezi kuliko kuharibu mamilioni kujenga ktk maeneo ambayo watu hawahitaji soko la aina hiyo.

So sad aisee.
 
Haya yote yameharibika baada ya Magufuri kufariki! Kama angekuwepo watu wangeenda kule watake wastake!
Lakini sasa hizi sauti nyepesi haziwezi kutisha watu wakubali kwenda huko!
 
Yaani hadi soko la Kijichi nalo mnataka Rais aseme!
 
Back
Top Bottom