Kwenye swala la Parking nakuunga mkono mkuu hata mimi hiki kitu nilikiwaza. Sasa hivi inalazimu kupaki kwenye ile njia ya kuingilia napo imekua ni changamoto. Hili ni tatizo jipya!
Hapo si huwa yanapaki na magari yanayoshusha mizigo hapo sokoni, waambie waache uzwazwa.......hivyo vibanda wakajenge kwengine wasilazimishe mambo.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.