milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Hii ni Hali ya Miji wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro.
Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu ukiwa umezagaa, huko Moshi Manispaa.
Wananchi wameshindwa kuelewa shida Iko wapi? Na tatizo ni nini?
Kwa Hali hii,tunaambia tuende na mama 2025.
Soma Pia: Soko la Marangu Mtoni ni chafu sana, mamlaka zishughulikie changamoto hii