Y ydalnorI Member Joined Mar 21, 2019 Posts 37 Reaction score 26 Apr 28, 2019 #1 Waheshimiwa na wakuu wangu humu wazima. Nimewahi kusikia kwamba biashara ya korosho Adis Ababa inalipa sana kwamba kuna soko huko. Je kuna mtu humu ana fununu au uelewa wa jambo hili aliweke vizuri kwa faida ya wote.
Waheshimiwa na wakuu wangu humu wazima. Nimewahi kusikia kwamba biashara ya korosho Adis Ababa inalipa sana kwamba kuna soko huko. Je kuna mtu humu ana fununu au uelewa wa jambo hili aliweke vizuri kwa faida ya wote.