SOKO LA KOROSHO ETHIOPIA

SOKO LA KOROSHO ETHIOPIA

ydalnorI

Member
Joined
Mar 21, 2019
Posts
37
Reaction score
26
Waheshimiwa na wakuu wangu humu wazima.
Nimewahi kusikia kwamba biashara ya korosho Adis Ababa inalipa sana kwamba kuna soko huko. Je kuna mtu humu ana fununu au uelewa wa jambo hili aliweke vizuri kwa faida ya wote.
 
Back
Top Bottom