Soko la korosho

Soko la korosho

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Hivi kuna mtu anajua kwa nini Korosho inakosa soko huku masoko ya ndani hayana korosho? Au niseme, kwa nini inazuiliwa mtu/mzalendo kununua Korosho mfano gunia mbili nk
 
Magufuli ndie chanzo tangu avuruge maksud soko la korosho na kumwaga baharini soko halijawahi kuwa zuri.

Crimea
 
Hayo masoko ya ndani kwa bei gani kwa kilo?
 
Back
Top Bottom