Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je unaweza ku-supply kuku wangapi kwa mwezi? Maana kila siku watu wanaomba tender za ku-supply vitu, wakipata kazi, baada ya siku moja mzigo hana, inakuwa kasheshe tena kuanza kuokoteza.Natumaini wote wazima,mimi ni muuzaji wa kuku wa kienyeji toka singida na dodoma na naifanyia biashara hiyo dodoma kwa sasa.natamani biashara yangu niilete Dar Es Salaam na tatizo sina soko.wadau naombeni maoni/ushauri na maelekezo.
Thanks
Pole aiseeee.unahitaji?
Mimi nauza vifaranga vyeusi kutoka malawi kama unahitaji naomba pm, vifaranga hivi ni chotara ni resistant to disease na wanataga sana mayai
songeaUnapatikana wapi mkuu!??
Mimi nauza vifaranga vyeusi kutoka malawi kama unahitaji naomba pm, vifaranga hivi ni chotara ni resistant to disease na wanataga sana mayai
uamuzi ni wako kama ukihitaji uwafuge kama wa kienyeji inategemea space uliyonayo na idadi unayohitaji. Pi Unaweza kuwafuga kama wa kisasa na ukawalisha kama wa kisasa. kifaranga kimoja nauza 2200. Nipo songea natarajia kuweka mayai kwenye incubator tarehe 5 na vitatoka by 26 december kama unahitaji weka oda.Toa elimu zaidi, wanahudumiwa kama kuku wa kisasa au kuku wa asili, n bei yako ikoje?