Soko la kuuza mahindi Kenya

Soko la kuuza mahindi Kenya

kapuchi

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2008
Posts
268
Reaction score
163
Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya.

Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
 
Nenda Chato international airport kuna soko safi sana mkuu'alisikika mlevi mmoja akisema
 
Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya.

Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
Unauza bei ngapi?
 
Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya.

Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
Unauza pesa ngapi gunia moja, tuanzie hapo kwanza. Na ni gunia ya 50 kg?
 
Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya.

Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
Magunia km 100. Sijawahi kusikia
 
yaani unalima bila kujua utayauza wapi mazao yako??
 
Tajeni bei ya gunia ya mahindi mnayouza. Sio kuleta umbea hapa.
 
Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya.

Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
Njoo namanga hapa faster tuu yanaisha
 
Hizo gunia chache sana kiongozi, kibaigwa zipo gari za Zimbabwe na South Sudan zinasomba mzigo kwa kasi ya kimbunga kama upo serious nione chamber
 
Wadau nililima mahindi Kiteto nimejaliwa kupata gunia km 100 natafuta soko nchi ya jirani Kenya.

Mwenye kuweza kuniunganisha nikauze mazao yangu anipe mwelekeo
Kwanini unauza Sasa kwa bei ya hasara...ukame ndio umeshaingia njaa yaja..Mahindi yatafika sh. 100,000 kwa gunia hivi karibuni...wakulima wamwshindwa kulima mwaka huu...kuwa na subira
 
Back
Top Bottom