Soko la kuuzia nyanya kwa Dar es Salaam

Soko la kuuzia nyanya kwa Dar es Salaam

kinywele ki1

Senior Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
119
Reaction score
23
Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu nyumbani za Kula familia sasa nimeona naweza kulima sehem kubwa kibiashara
 
Masoko yapo mengi sana!!kariakoo, temeke sterio, buguruni!!ila bila madalali hii biashara haifanyiki kamwe!!!changamoto yake ni muda wa kuvuna kama tavuna nyanya zikiwa nyingi sokoni, bei inakuwa chini sana.
Ila kwa kipindi hiki sasa ndio wanapiga pesa kwani nyanya ni adimu sokoni.
 
Nashukuru Kwa kunipa mwanga
 
Uaminifu wa Hawa madalali ukoje?
 
Uaminifu wa Hawa madalali ukoje?
Kuhusu uaminifu wa madalali hapo ni pagumu kukupa uhakika, ila lazima utembelee sokoni na ufanye utafiti mdogo wewe mwenyewe, kwani wenye uaminifu wapo wanafahamika, na wasio waaminifu wanajulikana, ila kuwafahamu lazima uulizie wafanya biashara wa biashara hiyo, kama wataweza kukwambia, kwani wakati mwingi sisi watz bana tuna roho mbaya sana, kwenye kupeana A, B, C, za biashara.
 
Habari wakuu, bei
ya nyanya Tenga moja kiasi gani Sasa hivi DSM
 
Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu nyumbani za Kula familia sasa nimeona naweza kulima sehem kubwa kibiashara

naweza pata heka moja huko ulipo na kukod ni bei gan?
 
Mkuu huku zinga sas kumekua mji Sis tulinunua miaka ya 80 sas hv Hekamoja zinga moja ni zaidi ya mil 5

kwhyo mkuu bado unaendelea na Kilimo cha nyanya na Kama unaendlea kwa sasa unalima wapi maan umexema huko znga hakuna Nafasi?
 
Mashamba ya kukodi zinga nikama hakuna, huku kuna mradi wa epz kwa hiyo viwanja vimepanda sana
 
kwhyo mkuu bado unaendelea na Kilimo cha nyanya na Kama unaendlea kwa sasa unalima wapi maan umexema huko znga hakuna Nafasi?
Bado najifunza kilimo Cha nyanya sijaanza ramsi maana napata ozoefu kwanza kwenye nafasi ndogo kabla sijaanza heka moja
 
wakuu naomben maelekezo kw wakazi wazoefu wa mkoa w morogor na pwani ni vjij gani nawez pata nazi na ndimu kw huakika?
 
Back
Top Bottom