kinywele ki1
Senior Member
- Jan 18, 2014
- 119
- 23
Masoko yapo mengi sana!!kariakoo, temeke sterio, buguruni!!ila bila madalali hii biashara haifanyiki kamwe!!!changamoto yake ni muda wa kuvuna kama tavuna nyanya zikiwa nyingi sokoni, bei inakuwa chini sana.Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu nyumbani za Kula familia sasa nimeona naweza kulima sehem kubwa kibiashara
Nashukuru Kwa kunipa mwangaMasoko yapo mengi sana!!kariakoo, temeke sterio, buguruni!!ila bila madalali hii biashara haifanyiki kamwe!!!changamoto yake ni muda wa kuvuna kama tavuna nyanya zikiwa nyingi sokoni, bei inakuwa chini sana.
Ila kwa kipindi hiki sasa ndio wanapiga pesa kwani nyanya ni adimu sokoni.
Uaminifu wa Hawa madalali ukoje?Masoko yapo mengi sana!!kariakoo, temeke sterio, buguruni!!ila bila madalali hii biashara haifanyiki kamwe!!!changamoto yake ni muda wa kuvuna kama tavuna nyanya zikiwa nyingi sokoni, bei inakuwa chini sana.
Ila kwa kipindi hiki sasa ndio wanapiga pesa kwani nyanya ni adimu sokoni.
kikumbwa ni timing yako ya kuivisha.Uaminifu wa Hawa madalali ukoje?
Kuhusu uaminifu wa madalali hapo ni pagumu kukupa uhakika, ila lazima utembelee sokoni na ufanye utafiti mdogo wewe mwenyewe, kwani wenye uaminifu wapo wanafahamika, na wasio waaminifu wanajulikana, ila kuwafahamu lazima uulizie wafanya biashara wa biashara hiyo, kama wataweza kukwambia, kwani wakati mwingi sisi watz bana tuna roho mbaya sana, kwenye kupeana A, B, C, za biashara.Uaminifu wa Hawa madalali ukoje?
Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu nyumbani za Kula familia sasa nimeona naweza kulima sehem kubwa kibiashara
Mkuu huku zinga sas kumekua mji Sis tulinunua miaka ya 80 sas hv Hekamoja zinga moja ni zaidi ya mil 5naweza pata heka moja huko ulipo na kukod ni bei gan?
Mkuu huku zinga sas kumekua mji Sis tulinunua miaka ya 80 sas hv Hekamoja zinga moja ni zaidi ya mil 5
Mashamba ya kukodi zinga nikama hakuna, huku kuna mradi wa epz kwa hiyo viwanja vimepanda sanakwhyo mkuu bado unaendelea na Kilimo cha nyanya na Kama unaendlea kwa sasa unalima wapi maan umexema huko znga hakuna Nafasi?
Bado najifunza kilimo Cha nyanya sijaanza ramsi maana napata ozoefu kwanza kwenye nafasi ndogo kabla sijaanza heka mojakwhyo mkuu bado unaendelea na Kilimo cha nyanya na Kama unaendlea kwa sasa unalima wapi maan umexema huko znga hakuna Nafasi?