Soko la Madini Dar Es Salaam ni hatari

Soko la Madini Dar Es Salaam ni hatari

Zamani kuuza ilikuwa mpaka watu waje Dar kwa wanunuzi wakubwa. Walikuwa wanaporwa na kutapeliwa sana. JPM alivyojenga masoko kwenye maeneo yanakotoka madini Dar imepungua sana kama kitovu cha madini. Imebaki kuwa gate ya wahuni wanaotorosha madini.
 
Back
Top Bottom