Soko la mafuta ya alizeti

Soko la mafuta ya alizeti

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo mwaka huu nimeona mtaani kugumu kwa kweli, kwa kuwa kuna babu yngu mmoja ni mzoefu sana katika masuaala ya biashara nilikaa nae chini kuona nini nitafanya. hapo ndipo aliponipa ushauri wa kuanzisha biashara ya kukamua mafuta ya alizeti na kuuza, bahatai nzuri mashine anazo na amenipa go ahead, kwa maana hiyo nimeungana na wenzangu ambao tumemaliza chuo pamoja na kufikiria kuanza kufanya hiyo biashara. nimekuja humu wakuu mnisaidie kujua soko likoje hasa tunapokamua wenyewe katika mkoa wa dar es salaam na maeneo yake jirani. naomba kuwasilisha.
 
Kama una site ya biashara "frame" bora kupanga na kuuza aidha kwa jumla au reja reja na kutafuta wahitaji wa oda.Kwani hizo mashine unazosema za babu yako zipo sehem gani?
 
Kama una site ya biashara "frame" bora kupanga na kuuza aidha kwa jumla au reja reja na kutafuta wahitaji wa oda.Kwani hizo mashine unazosema za babu yako zipo sehem gani?

Asante kwa wazo, mashine ziko mbezi mkuu.
 
Back
Top Bottom