Soko la mahindi mwanza

Soko la mahindi mwanza

NELLY CB

Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
8
Reaction score
0
Habari wana JF.

Tafadhali naomba kwa yoyote anayejua kampuni inayo/zinazonunua mahindi
mwanza anisaidie jina la kampuni au hata na contacts kama anazo.

Natanguliza shukurani wadau...
 
Back
Top Bottom