KERO Soko la Marangu Mtoni ni chafu sana, mamlaka zishughulikie changamoto hii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

briophyta plantae

Senior Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
117
Reaction score
132
Soko ni sehemu inayotakiwa kutunzwa na kuheshimiwa sana, ni sehemu ya kibiashara na hasa sehemu tunapopata mahitaji yetu ya chakula kwa tulio wengi.

Kwa mji mdogo wa Marangu kuwa na soko lenye taka nyingi kiasi hichi zenye zaidi ya miezi kadhaa bila kutolewa na ikizingatiwa ni mji wa kitalii pia kwa kupitisha wageni wengi wanaopanda mlima Kilimanjaro.

Ni taswira mbaya sana kwetu, kwakweli hii haijakaa sawa hata kidogo. Nashindwa kuelewa uongozi unachangamoto gani katika kutatua hili tatizo.nilikuja marangu mwaka jana hili eneo lilikuwa hivi hivi, hata vyoo navyo ni vichafu mno.

Serekali itusaidie hapa.


 
Mrundikano wa taka taka soko la marangu mtoni mkoani kilianjaro kwakweli sio sawa kiafya kwa wanunuzi wa vyakukula na mazingira kiujumla.
Serekali ichukue hatua
 

Attachments

  • IMG_20240602_121210_840.jpg
    4.1 MB · Views: 7
Soko la Marangu mtoni lina uchafu mwingi. Mamlaka zifuatilie hili suala.

 
Safi sana, hii ndiyo asili ya Watanzania, hatupendagi usafi hata kidogo, na usikute kuna mtu ananuka makwapa na sehemu za siri shinda huu uchafu lakini bado anajiona hanuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…