briophyta plantae
Senior Member
- Feb 18, 2017
- 117
- 132
Soko ni sehemu inayotakiwa kutunzwa na kuheshimiwa sana, ni sehemu ya kibiashara na hasa sehemu tunapopata mahitaji yetu ya chakula kwa tulio wengi.
Kwa mji mdogo wa Marangu kuwa na soko lenye taka nyingi kiasi hichi zenye zaidi ya miezi kadhaa bila kutolewa na ikizingatiwa ni mji wa kitalii pia kwa kupitisha wageni wengi wanaopanda mlima Kilimanjaro.
Ni taswira mbaya sana kwetu, kwakweli hii haijakaa sawa hata kidogo. Nashindwa kuelewa uongozi unachangamoto gani katika kutatua hili tatizo.nilikuja marangu mwaka jana hili eneo lilikuwa hivi hivi, hata vyoo navyo ni vichafu mno.
Serekali itusaidie hapa.