Anzia soko kuu la mjini Morogoro, fanya utafiti kidogo kwa wale wachuuzi pale. Wananua wapi, bei gani , uwezo wao wa kununua (yaani trays ngapi kwa siku etc, baada ya hapo hamia kwenye hoteli na wachoma chipsi wale wa usiku maeneo yote yanayozunguka Luna na kahumba, Chipukizi etc. Kama Tray wanauziwa Tshs 6500 wewe wauzie kwa Tshs 6000