1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 604
Wadau habari!naingia jamvini ili kuweza kuomba msaada na ushauri juu ya soko la mayai mkoani Morogoro,lengo langu kubwa ni kutaka kujihusisha na usambazaji wa mayai hayo (ya kuku wa kisasa) katika mkoa wa Morogoro kwa bei nafuu kidogo,nina uwezo wa ku supply tray za mayai kati ya 10 mpaka 50 kwa siku!kikwazo changu kikubwa ni upatikanaji wa soko mkoani humo,tafadhari kwa yeyote mwenye kujua sehemu napoweza ku supply mayai hayo mkoani Morogoro naomba aniunganishe,asanteni