K KABALEGA Senior Member Joined Jul 18, 2017 Posts 164 Reaction score 104 Sep 20, 2017 #1 Habari za asubuhi ndugu wana JamiiForums, Ninaomba kwa yeyote anayefahamu bei ya mayai ya kienyeji kwa mkoa tajwa hapo juu anijuze au atujuze wenye uhitaji wa kujua kama mimi pamoja na masoko yake. Ahsanteni
Habari za asubuhi ndugu wana JamiiForums, Ninaomba kwa yeyote anayefahamu bei ya mayai ya kienyeji kwa mkoa tajwa hapo juu anijuze au atujuze wenye uhitaji wa kujua kama mimi pamoja na masoko yake. Ahsanteni