Soko la Mayai ya kienyeji Dar au Mwanza

Soko la Mayai ya kienyeji Dar au Mwanza

KABALEGA

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
164
Reaction score
104
Habari za asubuhi ndugu wana JamiiForums,

Ninaomba kwa yeyote anayefahamu bei ya mayai ya kienyeji kwa mkoa tajwa hapo juu anijuze au atujuze wenye uhitaji wa kujua kama mimi pamoja na masoko yake.

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom