Soko la Mbaazi linalomnufaisha mkulima na wasafirishaji ni BM Impex

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Kwa wale wanaosafirisha mbaazi kutoka mikoani kuja DSM wasihangaike kutafuta soko kwa manufaa yao.

Jihadhari kwa kuuza mbaazi zako kwa bei ya kutupa.

BM IMPEX ndio mkombozi wako.
Uza mbaazi kwa bei nzuri na yenye manufaa kwako.
Wakulima na wasafirishaji mbaazi wananufaika kwa bei zetu nzuri.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana moja kwa moja na meneja masoko wa BM IMPEX kwa +255653422776.
 
Weka bei zenu hapa tulinganishe na wanazonunulia wafanya biashara wengine.
 
Wew unauhitaji au unazuga? Weka bei kama kweli uko serious maana mbaazi zipo nyingi za kutosha.
 
Mbaazi kutoka wapi..?? Arusha...?? Babati au katesh..??? Unalipa sh ngapi kwa tani kwenye usafiri.??
 
Kwa wale wanaosafirisha mbaazi kutoka mikoani kuja DSM wasihangaike kutafuta soko kwa manufaa yao.

Jihadhari kwa kuuza mbaazi zako kwa bei ya kutupa.

BM IMPEX ndio mkombozi wako.
Uza mbaazi kwa bei nzuri na yenye manufaa kwako.
Wakulima na wasafirishaji mbaazi wananufaika kwa bei zetu nzuri.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana moja kwa moja na meneja masoko wa BM IMPEX kwa +255653422776.

BM IMPEX muko wapi? na munanunua mbaazi peke yake sababu sasa ni msimu wa korosho? kwa nini usiweke bei hadharani ? sawa tutakupigia
 
Back
Top Bottom