PROF MUDI DULA
Member
- Oct 29, 2012
- 86
- 4
Kwa wale wanaosafirisha mbaazi kutoka mikoani kuja DSM wasihangaike kutafuta soko kwa manufaa yao.
Jihadhari kwa kuuza mbaazi zako kwa bei ya kutupa.
BM IMPEX ndio mkombozi wako.
Uza mbaazi kwa bei nzuri na yenye manufaa kwako.
Wakulima na wasafirishaji mbaazi wananufaika kwa bei zetu nzuri.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana moja kwa moja na meneja masoko wa BM IMPEX kwa +255653422776.
Mbaazi za Arusha/ Dodoma ni sh. 1000@kg.
Mbaazi za Mtwara ni sh.900@kg.
BM IMPEX muko wapi? na munanunua mbaazi peke yake sababu sasa ni msimu wa korosho? kwa nini usiweke bei hadharani ? sawa tutakupigia