SOKO LA MENDE LIKO WAPI HAPA TZ?

SOKO LA MENDE LIKO WAPI HAPA TZ?

Chogotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
236
Reaction score
105
Kama kujiajili ni moja ya chachu ya kupata pesa basi naombeni mniongoze n wapi nitapata soko la kuuza MENDE?

Kama pia kutakuwa na kiwanda cha kusindikia hao wadudu naomba mnisukumizie huko maana hapa nyumbani panapo shimo la kupokelea taka zitokazo tumboni kuna shimo basi waweza wakuta hata 80 wanachezesha sharubu zao sasa nikaona h ni fursa naomba mniongoze...
 
Inaonyesha unamazingira rafiki ya hao viumbe kuserereka na life
kuna shimo la choo hapa sasa kuna kipnd watu waliiba reli so kukawa na uwaz sasa ikifika usiku wanatoa kama 100 hivi mpaka kero yan...[emoji35] [emoji35]
 
kuna shimo la choo hapa sasa kuna kipnd watu waliiba reli so kukawa na uwaz sasa ikifika usiku wanatoa kama 100 hivi mpaka kero yan...[emoji35] [emoji35]

Pole jitahidi, ni kitega uchumi hicho kitumie vizuri
 
Pole jitahidi, ni kitega uchumi hicho kitumie vizuri
nitaulizia utaratbu wa bei upoje...,maana waweza ambiwa junia 10000 ni bora nikanunue dawa ya 1000 niwamiminie wafe tuuu
 
Back
Top Bottom