Chogotz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 236
- 105
Kama kujiajili ni moja ya chachu ya kupata pesa basi naombeni mniongoze n wapi nitapata soko la kuuza MENDE?
Kama pia kutakuwa na kiwanda cha kusindikia hao wadudu naomba mnisukumizie huko maana hapa nyumbani panapo shimo la kupokelea taka zitokazo tumboni kuna shimo basi waweza wakuta hata 80 wanachezesha sharubu zao sasa nikaona h ni fursa naomba mniongoze...