nitamtafta mkuuMtafute Malaria Suguu
hapana sifug ila wapo weng hapa ninapoishi mkuu
kuna shimo la choo hapa sasa kuna kipnd watu waliiba reli so kukawa na uwaz sasa ikifika usiku wanatoa kama 100 hivi mpaka kero yan...[emoji35] [emoji35]
nitaulizia utaratbu wa bei upoje...,maana waweza ambiwa junia 10000 ni bora nikanunue dawa ya 1000 niwamiminie wafe tuuu