Francesco lupenza
New Member
- May 26, 2019
- 4
- 0
kwanin boss,, naomba kueleweshwa vzuriKama muda unao usiache kujifunza programming.
Kwanini uji limit katika kupata ujuzi?kwanin boss,, naomba kueleweshwa vzuri
Nashukuru sana boss nmekupataKwanini uji limit katika kupata ujuzi?
Kama systems administrator utahitaji ku automate data aggregation processes.Ujuzi wa scripting languages utauhitaji hapa.Kuna systems admins wengi tu hawajui programming lakini ukitaka kujipanulia wigo wa ajira then programming itakubeba.
Mimi kijana nimemaliza kidato cha nne nlikua naomba ushauri wenu nataka nianze kupiga diploma in INDUSTRIAL ENGINEERINGWadau naomba ushauri juu ya soko (kwa upande wa ajira) mimi nasoma Bachelor of Computer Engineering, MUST, siko interested sana na coding.
Nafkiria kuspecialize na Network & System Administration kwenye suala la ajira iko vp hii? Na ni sector zipi zina uhitaji wa ao watu wa network?
Electrical and ElectronicsMimi kijana nimemaliza kidato cha nne nlikua naomba ushauri wenu nataka nianze kupiga diploma in INDUSTRIAL ENGINEERING
naomba kuuliza hii field ipo vizuri au ndo michosho
pia kwa ataeweza nishauri juu ya kozi hizi mbili ipi ipo vizuri kwa upande wa ajira saiv
ELECTRICAL AND ELECTRONICS au
COMPUTER ENGINEERING
Kwa hiyo uliambiwa networking haina programming? Wewe sema unaikimbia programming sio "una specialize" !Wadau naomba ushauri juu ya soko (kwa upande wa ajira) mimi nasoma Bachelor of Computer Engineering, MUST, siko interested sana na coding.
Nafkiria kuspecialize na Network & System Administration kwenye suala la ajira iko vp hii? Na ni sector zipi zina uhitaji wa ao watu wa network?