Soko la Nissan extral lazidi kuimarika bongo

Soko la Nissan extral lazidi kuimarika bongo

Ivi coolant ipo maalum ya nissan au ya gari yoyote?
Watanzania wengi huwa wanapenda kuongelea vitu ambavyo hawavijui huwezi iongelea nissan xtrail kama hujawai imiliki au ukaongela kutaokana na experience ya mwenzio,

Je unajuaje hao wanaosema zinachemsha labda wana miss use gari, maana kuna watu hawafai pia kama x trail zingekuwa mbovu kama watazania wanavyosema nadhani ilibidi kiwanda kisizalishe.

Cha muhimu gari litadumu kutegemea na wewe mwenyewe ulivyo like mtoto umleavyo ndivyo akuavyo....


1.Usiongelee kitu kama hujawahi kimiliki tuache story za vijiweni

2. Nissan x trail ni gari nzuri sana cha msingi zingatia service as directed by nissan manufacturer usipende cheap spare parts ( hapa ndo pagumu)

Ni mwaka wa nane huu natumia hiyo gari na inatwanga mapori kama kawa tofauti na watanzania wavyosema....
 
Ivi coolant ipo maalum ya nissan au ya gari yoyote?
Miss M4C coolant ni kwa ajili ya kuweka pamoja na maji kwenye rejetam hivyo wewe weka katika gari lolote si lazima iwe Nissan
 
Back
Top Bottom