Mchumi wa kati
Member
- Jun 21, 2021
- 32
- 29
Weka na picha ya hao samaki watu watathimini ukubwa na pia ainisha kigamboni sehemu gani ili mtu aweze kupiga hesabu sawa sawa za usafiri.Wajasiriamali wa chakula, tufahamishane soko la bidhaa hii ya chakula, yaani sato wakufuga kwenye mabwawa, kwa jiji la Dar lipo wapi? Uzito ni samaki wa 3 hadi 4 kilo, bei ya jumla ya bidhaa kuanzia kilo 50 ikifatwa shamba, Kigamboni ni TZS 7500. Karibuni
Ni sawa na kuku wa kienyeji na wa kizunguWeka picha hiv hao sato wanakuwa wana radha km wale wa ziwani
bado unahitaji kambaleMfanye biashara
Nahitaji Samaki Perege na Kambale kwa Wingi
Nahitaji Samaki Perege na Kambale kwa Wingi
Kama unafuga ama ni mfanyabiashara wa Samaki Perege na Kambale, PM tufanye biashara! Ahsante!www.jamiiforums.com