Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

Ikiwa itathibitika ni kweli basi Kuna haja ya kuwapima wahusika akili.
 
Serikali ikitaka kukuhamisha sehemu haina haja ya kufanya kama unavyodai mkuu!!!

mbona masoko mengi tu yamehamishwa pasipo kufanyika hivyo vitendo au unataka kuikosanisha serikali na wananchi wake!!
 
Duh.......... Kweli kulikuwa na huko ulazima, Serikali inaweza kumfanya mtu shame nyumba yake kupisha mradi Fulani, imeshindwa nini kuwatoa hao mpk ichome moto hilo solo.......hapa kuna utani ndani yake.
 
Kuwahamisha wafanya biashara mbeya sio jambo la kitoto, kuna mwaka walijaribu kuwahamisha wamachinga ilikua ni balaa tupu. Mbeya watu ni wavumilivu ila siku wakikutolea uvivu hutoamini macho yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…