Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

Habari wanajamvi....

Kuna taarifa inatembea mitandaoni kuwa soko kuu la sido Mbeya imeteketea kwa Moto hii habari ni ya kweli???????

Walioko Mbeya mtujuze......
 
Ndo maana mbeya itaendelea kuwa kijiji kikubwa kieneo, haiwezekani matukio ya kuungia maeneo yanakuwa mengi hivi wakati hamna hata 'wild fire' yoyote huko!!
 
Duu yaani wewe hata huku jamvini hufai.Habari na kupoa imeshapoa wala sio breaking news tena ndio unakuja kuulizia. Mkuu nunua hata kiredio cha Mkulima acha kututia aibu
 
Yaan hii ni hatareeeeee,

juzi niliona kwenye taarifa ya habari wafanyabiashara wa soko la Mwanjelwa wakilalamika kuwa hawapati Wateja sasa sijui Wateja wao walihamia soko kuu la sido wakaamua kuliamsha dude.....
 
Ndo maana mbeya itaendelea kuwa kijiji kikubwa kieneo, haiwezekani matukio ya kuungia maeneo yanakuwa mengi hivi wakati hamna hata 'wild fire' yoyote huko!!
Pengine yakiungua ndo serikali itakumbuka kuwa Mbeya nayo ni mji wa kuendelezwa!
Sasa hivi nguvu zote ni huko kaskazini.
Nenda Mwanjelwa barabara ya Zambia, haipitiki 90% of the time, pengine nayo ikiungua serikali itafanya kitu.
 
Duu yaani wewe hata huku jamvini hufai.Habari na kupoa imeshapoa wala sio breaking news tena ndio unakuja kuulizia. Mkuu nunua hata kiredio cha Mkulima acha kututia aibu

Mkuu nimecheka sana npo huku mpakan mwa Uganda na Rwanda redio zinazoshika n za Kigali tu.....

hahahahahahahahahahahaha
 
Kama kichwa kinavosema hapo juu

Nawasilisha hoja kwa namna hii et wanadai ya kwamba kusuasua kwa maendeleo ya soko jpya mwanjelwa ndo chanzo cha kufanya kilichotokea jana
Et kuna baadhi ya vitrmbe havina wapangaji

Source nipo mbeya mamajoni
aa85a06ea62d638ec0cd4238743e6b23.jpg
 
Pengine yakiungua ndo serikali itakumbuka kuwa Mbeya nayo ni mji wa kuendelezwa!
Sasa hivi nguvu zote ni huko kaskazini.
Nenda Mwanjelwa barabara ya Zambia, haipitiki 90% of the time, pengine nayo ikiungua serikali itafanya kitu.
Kwa hiyo serikali iwe inajenga alafu wao wanachoma eeeh! Hizi akili hizi, dah!
 
Kuungua kwa masoko kutakuwa na kitu nyuma ya pazia ipo cku itajulikana tu...
 
Pengine yakiungua ndo serikali itakumbuka kuwa Mbeya nayo ni mji wa kuendelezwa!
Sasa hivi nguvu zote ni huko kaskazini.
Nenda Mwanjelwa barabara ya Zambia, haipitiki 90% of the time, pengine nayo ikiungua serikali itafanya kitu.
Wanyakyusa washamba sana.
FB_IMG_1502725556640.jpg
 
Pengine yakiungua ndo serikali itakumbuka kuwa Mbeya nayo ni mji wa kuendelezwa!
Sasa hivi nguvu zote ni huko kaskazini.
Nenda Mwanjelwa barabara ya Zambia, haipitiki 90% of the time, pengine nayo ikiungua serikali itafanya kitu.

Kumbe wanachoma makusudi eeee
 
Majaliwa katoka uko kama two weeks zimepita katumbua watu balaa naona sasa Safar yake imetiki anataka watu wahamie soko jipya kwa lazma

Sent using Jamii Forums mobile app
Wametumbuliwa kwa sababu ya deni kubwa lililolimbikizwa kwa kutolipwa hata kidogo tangu jengo la soko la mwanjelwa lilipoanza kujengwa.

Shida imekuwa kodi kubwa katika frame hizo hivyo wafanyabiashara hawataki kuingia hapo.
 
Back
Top Bottom