Soko la Sido laungua moto jijini Mbeya

Hili soko siyo mara ya kwanza kuhusika na visa vya moto.
 
Hili si ndio linaunguaga kila Mara Au

iPhone 7 /A1786)
 
Wana Mbeya wenyewe wanajuana wala hakuna tatizo hapo. Kesho tu watazindua Soko jipya mahala pengine na maisha yataendelea tu kama kawaida. Halafu Jamani wana Mbeya wote mliopo humu ni kwanini interval ya Masoko yenu kuungua ni ya miaka mitatu miwili miwili tu tangia tabia hii ianze? Haya basi tuambieni tena kwamba moto ujao wa Sokoni mwaka 2019 utawaka mwezi gani ili tujiandae Kuokoa vitu vyetu.
 
UPDATES:
TAARIFA YA MOTO SOKO LA SIDO MBEYA:
MOTO UNAWAKA SANA HASA MAENEO YA SHARIF MAKOBA KUELEKEA MADUKA YA USAGATIKWA...

MUDA HUU POLISI WANAONGEZEKA KWA WINGI SANA KUONGEZA NGUVU NA SASA MABOMBU YANARINDIMA SANA KUTAWANYA WATU WOTE WASISOGELEE ENEO LA SOKO... HAKUNA ANAYERUHUSIWA KUINGIA NDANI YA SOKO MANA KWA USIKU HUU HAIJULIKANI NANI MWENYE MALI AU ASIYE NA MALI.

KWA TAARIFA YAKO MOTO NI MKUBWA SANA NA UMEANZIA NJE UNAELEKEA NDANI

UMEME UMEZIMWA KATIKA MAENEO YOTE YA KARIBU LAKINI MOTO NI MWINGI KAMA NA KUPELEKEA MWANGA MKUBWA KATIKA MAENEO...

KAMA UPO NYUMBANI BASI BAKI NYUMBANI MAANA POLISI WANAFANYA YAO MUDA HUU NA HAKUNA ATAKAYETOKA NA KITU AU KUFANYA UHUNI WA AINA YOYOTE...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…