kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Mmmm hata mbeya huijui wewe mkinga na msafwa kwenye biashara wapi na wapi?
Kwani fire zikiwepo ndo vitu haviungui? Mara ngapi fire zipo bila mafanikio ya kuzima Moto? Hata hapo nasikia fire zilizidiwa na MotoMnataka wawekezaji wakati hata fire haupo?!. Nani aje awkeze mabilioni hapa?!. Nimesikitika sana kama kuna mtu kafanya makusudi basi vilio vimwendee yeye na watu waje. Should not be the curse of the nation rather his,/her family.
Inawezekana wamechoma makusudi ili watu wahamie soko jipya la mwanjelwa!!!!?Conspiracy, says you must be where you should be
Yaap maan nipo ilemi naona mwangaza tuu angani duu aya majanga mbeya hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia walimpiga juju! Watu wameunguliwa mali zao na mitaji kupotea yeye anasema amefurahi soko hilo kuungua ili wajenge soko jipya na la kisasa.Huko Mbeya sijui kuna nini?Sitakaa nisahau yule Waziri alikufa kwa ajali ya ndege akitoka kukagua soko lililoungua moto Mbeya.
Ndo hapo sasaDuuh so sad why always mby
Heavy Weight
YapHawa si ndo waliunguliwa mwanjelwa mwaka 2007 ndo wakahamishiwa huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuwa na ukweli ila kudhibitisha ndio huwa ngumu mno sio kidogo.Serikali inahusika na uchomaji wa masoko coz wanakuwa na mipango ya kujenga masoko ya kisasa kama lilivyo soko la Mwanjelwa, na kule uhindini. Mtabisha reality will remain as it is
Sent using Jamii Forums mobile app
....kuhakikisha ulinzi na usalama wa mali za watu unaimarika .