i keep ma promise
Senior Member
- Feb 8, 2017
- 152
- 489
Wakuu nauza tangawizi inakaribia tani 1 nipo tanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbichi mkuuKavu au mbichi?
Bei?
Mbichi mkuu bei 2500@kgKavu au mbichi?
Bei?
wapi huko inakouzwa 2500 mkuuMbichi mkuu bei 2500@kg
Vipi Mkuu bei yake ya sasa ni bei gani?wapi huko inakouzwa 2500 mkuu
Kariakoo ni kati ya 800 na 1000 kwa kilo...iliyo mbichi(fresh)Vipi Mkuu bei yake ya sasa ni bei gani?
Nina tani 20 ngoja bei ipande kidogo ntazileta mjini.au kama unajua mahali kuna Soko zuri wanachukua nyingi tuwasiliane pm mkuuKariakoo ni kati ya 800 na 1000 kwa kilo...iliyo mbichi(fresh)
Upo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontenaNina tani 20 ngoja bei ipande kidogo ntazileta mjini.au kama unajua mahali kuna Soko zuri wanachukua nyingi tuwasiliane pm mkuu
Nakuja pm Mkuu tuongeeUpo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontena
An ant on the move does more than a dozing ox.
Wanachukua mbichi au iliyokaushwa...na kwa bei ganiUpo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontena
An ant on the move does more than a dozing ox.