INAUZWA Soko la tangawizi

INAUZWA Soko la tangawizi

Mimi nauza na kusambaza Tangawizi kwa Mikoa ya Mtwara na Lindi kilo@1500/=.
Nione pm tufanye biashara tangawizi fresh kutoka Songea zina maji mengi pia hazinyauki/kauki kwa haraka.
Ahsante
 
Kariakoo ni kati ya 800 na 1000 kwa kilo...iliyo mbichi(fresh)
Nina tani 20 ngoja bei ipande kidogo ntazileta mjini.au kama unajua mahali kuna Soko zuri wanachukua nyingi tuwasiliane pm mkuu
 
  • Thanks
Reactions: 911
Nina tani 20 ngoja bei ipande kidogo ntazileta mjini.au kama unajua mahali kuna Soko zuri wanachukua nyingi tuwasiliane pm mkuu
Upo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontena

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
  • Thanks
Reactions: 911
Upo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontena

An ant on the move does more than a dozing ox.
Wanachukua mbichi au iliyokaushwa...na kwa bei gani
 
Back
Top Bottom