Hivi mbunge wao wa miaka mingi ni Halima Mdee wa Chadema na Lisu anaishi huko miaka yoteNashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!
Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu
Ni soko chafu lililojaa maji machafu na tope jeusi la kutisha,
Halafu eti seriki inachukua ushuru pale!
Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?
Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
Halafu pesa zote zinazokusanywa zinaishia kwenye domo la mafisadiNyuki pale hapafai , hata stent tuu ni amsha

Doh!Kuhusu masoko sio huko Nyuki tu Chief, ingia buguruni au Ilala, dah! Hata haiweleki ushuru unakusanywa unaenda wapi, ukiingia Buguruni ndani unakuta wanasaga na juice zinajazwa kwenye madumu tunauziwa kwa mama Lishe, Shikamoo Tanzania.
Soko la Mabibo 2021/22 lilikuwa chafu sana sidhani kama Soko la Tegeta Nyuki limefikia uchafu kama huo.
Hapo mwanzo tuliambiwa jimbo la kawe halina mbunge sasa mbunge yupo toka ccm,diwani wa ccm, mwenyekiti serikali ya mtaa ccm kila kitu ccm bado mnalialia?Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!
Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu
Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?
Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?
Ni soko chafu lililojaa maji machafu na tope jeusi la kutisha,
Halafu eti serikali inachukua ushuru pale! Inazipeleka wapi?
Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?
Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
Hapo mwanzo tuliambiwa jimbo la kawe halina mbunge sasa mbunge yupo toka ccm,diwani wa ccm, mwenyekiti serikali ya mtaa ccm kila kitu ccm bado mnalialia?
Ifike wakati sasa usafi uwe ni jukumu la kila mtu kila kitu kusingizia serikali tunakosea kwani hapo sokoni hakuna viongozi wa nyie wenyewe mkajipanga mkafanya usafi mkubwa then marekebisho ya lazima ndio mpeleke huko kwenye kata.Nashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!
Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu
Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?
Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?
Ni soko chafu lililojaa maji machafu na tope jeusi la kutisha,
Halafu eti serikali inachukua ushuru pale! Inazipeleka wapi?
Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?
Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
Picha ya soko mkuuNashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!
Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu
Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?
Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?
Ni soko chafu lililojaa maji machafu na tope jeusi la kutisha,
Halafu eti serikali inachukua ushuru pale! Inazipeleka wapi?
Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?
Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
Ukifika pale kuna matunda yanaitwa matunda ya juisi, yana funza hatari.Kuhusu masoko sio huko Nyuki tu Chief, ingia buguruni au Ilala, dah! Hata haiweleki ushuru unakusanywa unaenda wapi, ukiingia Buguruni ndani unakuta wanasaga na juice zinajazwa kwenye madumu tunauziwa kwa mama Lishe, Shikamoo Tanzania.
Kabisa chief, niliingia pale ndani nikakuta wanasaga juice, yale mazingira, na yale matunda nilichoka.Ukifika pale kuna matunda yanaitwa matunda ya juisi, yana funza hatari.
Mi ndo maana huwa sinywi juisi nyumbani kwa mtu kasoro kwangu na kwetu
Mbunge wa nyuki ni ngwajima tatizo sio mbunge ni bwana afiya kutumika kisiasaHivi mbunge wao wa miaka mingi ni Halima Mdee wa Chadema na Lisu anaishi huko miaka yote
USSR
Mabibo je?Kuhusu masoko sio huko Nyuki tu Chief, ingia buguruni au Ilala, dah! Hata haiweleki ushuru unakusanywa unaenda wapi, ukiingia Buguruni ndani unakuta wanasaga na juice zinajazwa kwenye madumu tunauziwa kwa mama Lishe, Shikamoo Tanzania.
Picha mkuu plsNashindwa kuandika nianzie wapi na niishie wapi!
Soko la Tegeta nyuki, ni soko linalovutia funza, inzi wa ajabu na kila aina ya wadudu
Halafu serikali inataka tujivunie eti tunaviongozi bora? Kwa lipi?
Mbunge wa eneo hilo naye yupo yupo tu na hana msaada wowote! Inakuwaje soko Liwe vile?
Ni soko chafu lililojaa maji machafu na tope jeusi la kutisha,
Halafu eti serikali inachukua ushuru pale! Inazipeleka wapi?
Ni soko lenye watu wengi sana na biashara kemkemu, lakini eti halikarabatiwi?
Kukizuka kipindupindi serikali ndo wa kuwajibika!
Mabibo ndilo soko linalo igiza pesa nyingi kwa masoko ya dar lakini linaongoza kwa uchafu lakini kufa kufaana ukiingia mabibo sokoni ukitoka tope mpaka magotini nje kuna wakina mama wanakunawisha miguu kwa sh 500Soko la Mabibo 2021/22 lilikuwa chafu sana sidhani kama Soko la Tegeta Nyuki limefikia uchafu kama huo.
Wahusika hawawajibiki.