Kwa wale walioko kwenye soko la kuuza used computers na spare part au accessory zake na wanatafuta soko la kununua vifaa hivi kwa bei poa ya jumla karibuni UAE, soko linajitosheleza kabisa, unachokitaka kwenye hili soko utakipata, model kuanzia 2010 and above.
Kwa maelezo zaidi niletee DM
Kwa maelezo zaidi niletee DM