www.elimacompany.co.tzHabarini za majukumu!
Naomba kufahamu masoko nafuu ya vifaa vya kielektronik vya mtumba mfano TV, Laptops nk.
Nataka nianze kufanya biashara ya vifaa vya kielektronik vya mtumba.
Tumia hiyo namba ilioko mwishoni 800 utapata majibu sahihiThanks brother
0769971800