Benson GS New Member Joined May 1, 2023 Posts 2 Reaction score 1 Jan 28, 2024 #1 Nimeandika kitabu cha hisabati Kwa shule zinazotumia lugha ya kingereza, lakini changamoto ni Soko. Naomba mwenye uzoefu wa kufanya na kutangaza biashara mtandaoni anipé uzoefu au namna bora ya kufanya biashara ya academic books. Nipo Arusha.
Nimeandika kitabu cha hisabati Kwa shule zinazotumia lugha ya kingereza, lakini changamoto ni Soko. Naomba mwenye uzoefu wa kufanya na kutangaza biashara mtandaoni anipé uzoefu au namna bora ya kufanya biashara ya academic books. Nipo Arusha.