ALPHA2012
Member
- May 9, 2012
- 12
- 8
Wadau, nimeandika Kitabu cha somo la General Studies kinachoitwa " EXCEL in General Studies". Ni Kitabu cha maswali na majibu. Kuna jumla ya maswali 108 pamoja na majibu yake. Somo hili hufundishwa wanafunzi wa Kidato cha 5 na 6 hapa nchini. Nimeshauza kwa baadhi ya wanafunzi waliopo Dar es salaam. Namkaribisha mtu yeyote mwenye ushauri kuhusu namna ya kupata soko pana zaidi au kama yeye mwenyewe anaweza kuniunganisha kwa wateja. Aksanteni.