Habar za jion wadau, natengenexa vitu vya urembo mf heren ,kembe cheni na mikanda .changamoto niliyonayo sijui pa kuviuzia, naomben ushaur jaman na hat a jumla nauza vipo vya jumla na rejareja ukitaka unaniambia nakutengenezea sababu kila mtu anataka design yake