Soko la vitu vya urembo

Soko la vitu vya urembo

Kama unatumia app ya JF ni rahisi ku attach pictures. Ukifungua sehemu ya ku reply juu kabisa mkono wa kuume baada ya mshale kuna viboksi vidogo vitatu ukifungua pale utapata option ya ku attach picture. Kama unatumia browser ngoja niangalie kama inawezekana.

Asante Dada yangu kwa kunielekeza, nimeshatuma unawez
 
Heri yako wewe dada unaebuni na kuuza bidhaa zako na kujipatia kipato chako halali....kuliko wale wakina dada wenzako wanaojiuza na kuchuna mabuzi na mwisho wao huwa mbaya...Mungu akuongoze katika njia hiyo hiyo uliyoichagua na pia akunyooshee mambo yako yawe mazuri...na hii liwe fundisho kwa wadada wengine wanaoishi mjini kwa kuchuna mabuzi na kuuza utu wao....wajue kuwa maisha bila ya kuchuna mabuzi yanawezekana....

As ante kaka yangu mumgu akujalie na wewe pia
 
weka bandikko lako ambalo unatangaza biashara yako hiyo kwa mmfano
weka picha za hizo bidhaa kisha weka na bei yake kwa kila bidhaa
na mwisho weka mawasiliano yako ili watu wapate kujua unapatikana wapi ndio
waanavyoweka wenzio humu ndani matangazo yao ya biashara karibu
Nafanyaje sasa
 
Nimeanza kuweka picha ngoja niweke na mawasiliano
 
Tuwekekee mawasiliano kule kwenye thread yako yaani uzi wako uliututmia usitume kama unatuquote edit kule juu kisha weka picha pamoja na mawasiliano ndo wenzio wanavyofanya

huu ni ushauri tu best yangu
nimeanza kuweka picha ngoja niweke na mawasiliano
 
Tuwekekee mawasiliano kule kwenye thread yako yaani uzi wako uliututmia usitume kama unatuquote edit kule juu kisha weka picha pamoja na mawasiliano ndo wenzio wanavyofanya

huu ni ushauri tu best yangu

Yaan we mdada hujui kias unavyonisaidia, asante dada ysngu
 
Hiyo Ni cheni rejareja 5000 jumla 3000
 
Attachments

  • 1422953973889.jpg
    1422953973889.jpg
    109 KB · Views: 234
Huu ni mkanda Mwembamba rejareja 5000 jumla 3000 unaanzia mikanda 10 namba yangu 0713520689
 
Mkanda wenyewe ni huu
 
Attachments

  • 1422954245204.jpg
    1422954245204.jpg
    116.8 KB · Views: 242
Nyingine hizo
 
Attachments

  • 1423569932646.jpg
    1423569932646.jpg
    104.1 KB · Views: 180
Back
Top Bottom