Kama unatumia app ya JF ni rahisi ku attach pictures. Ukifungua sehemu ya ku reply juu kabisa mkono wa kuume baada ya mshale kuna viboksi vidogo vitatu ukifungua pale utapata option ya ku attach picture. Kama unatumia browser ngoja niangalie kama inawezekana.
Heri yako wewe dada unaebuni na kuuza bidhaa zako na kujipatia kipato chako halali....kuliko wale wakina dada wenzako wanaojiuza na kuchuna mabuzi na mwisho wao huwa mbaya...Mungu akuongoze katika njia hiyo hiyo uliyoichagua na pia akunyooshee mambo yako yawe mazuri...na hii liwe fundisho kwa wadada wengine wanaoishi mjini kwa kuchuna mabuzi na kuuza utu wao....wajue kuwa maisha bila ya kuchuna mabuzi yanawezekana....
tuma picha pia weka mawasiliano na bei ya bidhaa zako
Hakuna kisichowezekana&naam husikate tamaa kamwe ktk MAISHA YAKO KAZANA KUPAMBANA
Urembo Wako upi mama mbona siuoni.
Nafanyaje sasa
Nimeanza kuweka picha ngoja niweke na mawasilianoweka bandikko lako ambalo unatangaza biashara yako hiyo kwa mmfano
weka picha za hizo bidhaa kisha weka na bei yake kwa kila bidhaa
na mwisho weka mawasiliano yako ili watu wapate kujua unapatikana wapi ndio
waanavyoweka wenzio humu ndani matangazo yao ya biashara karibu
jaman kama kuna mtu hajaewa anaweza uliza
nimeanza kuweka picha ngoja niweke na mawasiliano
Tuwekekee mawasiliano kule kwenye thread yako yaani uzi wako uliututmia usitume kama unatuquote edit kule juu kisha weka picha pamoja na mawasiliano ndo wenzio wanavyofanya
huu ni ushauri tu best yangu
Ok nimeona ni bei gani sasa hizo cheni, heleni na kikembe kwa moja moja